binafsi nafikiri kiemba ni yuleyule anayeweza kuipumzisha timu inapokuwa katika hali ngumu na kupiga pasi za uhakika,
hivi wewe kama shabiki kwa SIMBA hii kiemba utampanga no ngapi"?
nafikiri kocha aachwe apange timu yaken na ndio m
aana hata tuluvyoshinda 6 alisema timu anayoitaka haijawa tayari , tusubiri wadau
No comments:
Post a Comment