Kocha huyo raia wa Zambia, anawindwa vilivyo na Uongozi wa Simba ili kuchukua mikoba ya Abdallah Kivaden anayetegemewa kuvunjiwa mkataba wake na Klabu hiyo.
Kibaden ambaye ameinoa Simba Sc kwa nusu msimu tu, anaobekana ameshindwa kukidhi vigezo vya falsafa ya Simba, ambayo hivi sasa inacheza soka lisilokuwa na ladha, Huku ikionekana na ikiwa na difensi mbovu katika mechi ilizocheza za ligi kuu Tanzania bara.

No comments:
Post a Comment