RAHA YA KUPENDA SIMBA SC NI VITU KAMA HIVI...USHINDI POPOTE KWA YEYOTE
Imehamishwa Toka bin zubery
![]() |
Ramadhani Singano akimtoka beki wa Chuoni |
![]() |
Messi akimtesa beki wa Chuoni |
![]() |
Beki wa Chuoni akilala chini kutoa mpira nje miguuni mwa mshambuliaji wa Simba SC, Haroun Chanongo |
![]() |
Kona langoni mwa Chuoni |
![]() |
Ramadhani Chombo 'Redondo' katikati akipambana na wachezaji wa Chuoni |
![]() |
Beki wa KMKM akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe |
![]() |
Messi akimtesa beki wa Chuoni |
![]() |
Nssor Masoud 'Chollo' wa Simba SC akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Chuoni |
![]() |
Chombo 'Redondo' akipambana na mchezaji wa Chuoni |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Ali Badru akipambana na wachezaji wa Chuoni |
![]() |
Awadh Juma wa Simba akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Chuoni |
![]() |
Kikosi cha Chuoni |
![]() |
Kikosi cha Simba SC |
![]() |
No comments:
Post a Comment