Mchezaji Sino Augustino aliyesajiliwa msimu huu atasitishiwa mkataba wake imejulikana.
Mchezaji huyo aliyetokea Prisons ya Mbeya na kujiunga na Simba msimu huu, anakumbana na rungu hilo la Simba baada ya kutopata nafasi ya kutosha akiwa Simba Sc.
Sino , ambaye ni mfupi wa umbo lakini mwenye nguvu za miguu, ameingia katika mkumbo wa watakaotemwa katika dirisha dogo la msimu huu, huku akiwa amecheza mechi chache tu na Wekundu hao wa Msimbazi.
No comments:
Post a Comment