ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, January 21, 2015

CSKA MOSCOW YAMPA MUDA ZAIDI SAMATTA



Uongozi wa CSKA Moscow kupitia mtandao wake umesema bado hauna uhakika kuhusiana na suala la Mbwana Samatta.

Mtandao huo umesema ni mapema kuzungumzia suala la Mtanzania huyo ambaye yuko katika timu hiyo anafanya majaribio.

CSKA imemchukua Samatta ambaye anendelea na mazoezi akiwa na timu nchini Hispania.

“Bado ni mapema, huenda tusimchukue lakini benchi la ufundi lina nafasi ya kuendelea kumuangalia,” ilisema sehemu ya mtandao huo.


Samatta anayekipiga TP Mazembe anawaniwa na zaidi ya timu nne za Ulaya ambazo

No comments:

Post a Comment