ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, January 26, 2015

OKWI ARUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA, KUANZA MAZOEZI BAADAE LEO

Mshambuliaji aliyepata mshtuko mkubwa baada Ya kuzimia jana Emanuel Okwi sasa yuko fit SPS inakujulisha.

Akiongea na blog hii, Daktari wa Simba Sc Bw Yasin Gembe amesema Okwi amerejea katika hali yake Ya kawaida hivyo anaweza kuanza mazoezi mepesi Hapo baadae.


Simba Sc Ipo jijini Dar Es salaam tayari kabisa kuivaa Mbeya City katika mechi inayotabiriwa kuwa tamu na Ya kusisimua!

No comments:

Post a Comment