ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Saturday, January 24, 2015

SIMBA , AZAM, HAPATOSHI LEO

Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba Sc,leo kinatarajiwa kuwa na kibarua kizito katika muendelezo wa LIGI kuu TANZANIA BARA kitakapoivaa Timu Ya Azam Fc.


Simba Sc inaingia dimbani ikiwa na kumbukumbu Ya kuchapwa Goli 2-1 katika mechi Ya mwisho iliyopigwa Mwaka jana!

No comments:

Post a Comment