ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, September 26, 2013

FULL TIME SIMBA 0-1 NDANDA

Timu ya Simba leo imepoteza mechi yake ya kirafiki dhidi ya Ndanda Fc iliyomalizika muda mfupi uliopita, kikosi cha Simba leo kimewajumuisha wachezaji wengi wasiokuwa na nafasi ya kutosha katika ligi kuu

No comments:

Post a Comment