ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, September 30, 2013

HENRY JOSEPH,KUANZA MAZOEZI MEPESI KESHO

Timu ya soka ya Simba kesho itaendelea na mazoezi huku ikishuhudia kurejea kwa kiungo Henry Joseph,.
Mazoezi hayo yatakayofanyika katika uwanja wa kinesi, yatashuhudia kurejea kwa kiungo huyu baada ya kukosa michezo takribani miwili ya ligi kuu Tanzania bara.

No comments:

Post a Comment