ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, October 4, 2013

HUMUD;MKABENI TAMBWE SISI TUWAMALIZE

Kiungo cha kati Abdulhalim Humud,amesema kuwa  udhaifu wa mabeki wa Tanzania kumkaba Tambwe na kuwaacha wengine, utawamaliza.

Akiandika katika akaunti yake ya facebook, humud alisema"Mabeki wengi wa sasa,wanawaza jinsi ya kumzuia Tambwe,wamesahau kuwa Simba ya sasa inacheza samba kama la Brazil,ukimzuia huyu yule anakuumiza,(pole niyonzima)" aliongeza



No comments:

Post a Comment