Seseme maarufu Kama Hugo, alikosa mechi zote za mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kuumia akiwa mazoezini kwenye uwanja wa kinesi.
Urejeo wa kinda hili lililokuwa kipenzi cha kocha aliyesitishiwa mkataba wake Patrick Leiwig, unaongeza chachu ya kuongezeka kwa viungo bora kabisa katika timu ya Simba Sc msimu huu.
No comments:
Post a Comment