ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, February 2, 2014

MCHEZAJI YANGA AUAWA

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Omary Changa amefariki dunia
Taarifa hizo zimethibitishwa na baba yake mzazi aliyejitambulisha kwa jina la Idd Changa.

“Ni kweli, tumepewa taarifa leo jioni kwamba Omary aliokotwa kwenye eneo la Jangwani na mwili wake una kovu sehemu ya usoni karibu na jicho.
“Bado hatujajua hasa tatizo nini na kesho nimetakiwa kwenda Polisi ambako nitapata uhakika kwamba nini kilitokea
“Wengine wanasema alinyongwa, wengine wanasema amepata ajali ya bodaboda, sasa tunakuwa hatuelewi hasa tatizo ni nini?”

1 comment:

  1. ndugu muandishi, jarbu kutumia lugha sahihi unapotufkishia ujumbe, unaposema kua mchezaji auawa maana yke amekufa kwa kuuliwa na watu.

    ReplyDelete