Aliyekuwa kocha wa Simba SC Zdravko Logarusic,leo ameiacha ardhi ya Tanzania baada ya kusitishiwa mkataba wake na Simba SC,.
Katika ukurasa wake wa facebook, raia huyo wa Croatia ametupia picha kama inavyoonekana hapo juu ikiwa na maandishi yanayosema bye bye Tanzania.
Zdravko Logarusic,alisitishiwa mkataba wake siku ya jumapili baada ya kushindwa kuendana na baadhi ya vipengele vilivyopo katika mkataba wake.
No comments:
Post a Comment