ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, December 31, 2014

MTIBWA KUIVAA SIMBA LEO

Kikosi cha Simba Sc Leo kinatarajiwa kuwavaa wakata miwa wa Mtibwa ya Morogoro katika mechi ya kwanza ya michuano ya kombe la Mapinduzi .

Mechi hiyo ambayo itakayopigwa saa 2.16 usiku,inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande zote mbili .

Ikumbukwe kuwa, Simba Sc imemsitishia mkataba wake kocha wake wa zamani Patrick Phiri kutokana na muenendo mbovu wa timu.

No comments:

Post a Comment