ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, January 1, 2015

JUUKO KUTUA LEO, OWINO,OKWI,SSERUKUMA KUTUA JUMAMOSI

Beki ya kati ya Simba Sc Murshid Juuko, anawasili leo tayari kabisa kwa michuano ya Mapinduzi .

Beki huyo kisiki, anaingia alasiri ya Leo baada ya kumaliza likizo fupi aliyopewa.

Ikumbukwe kuwa, Juuko alipewa likizo pamoja Na waganda wenzake ambao wanatarajiwa kuwasili jumamosi ya wiki hii.

No comments:

Post a Comment