ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, February 20, 2015

WHITE LANE MPYA KUGHARIMU MAMILIONI YA PAUNI




Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamani 56,000 walioketi.

Awali kulikuwa a pingamizi mahakama kuu, lakini likatupwa na kutoa nafasi hiyo ya kuanza kujenga.
Kwa mujibu wa mtandao wa timu hiyo, uwanja huo unatarajiwa kuwa umekamilika na kuanza kutumika katika msimu wa 2018-19.



No comments:

Post a Comment