ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, February 22, 2016

BANDA; ILIKUWA NGUMU ZAIDI KUPAMBANA TUKIWA PUNGUFU

Kiungo mshambuliaji wa Simba Sc Abdi Banda, amesema kuwa kupoteza mchezo dhidi ya Yanga ilikuwa dhahiri kuanzia dakika ya 25 baada ya muamuzi Jonasia Rukiyaa kumuadhibu kwa kadi nyekundu.

Abdi Banda juzi alitolewa mapema katika mchezo ambao ulikuja kuwa wa hovyo baada ya kumgusa kwenye bega mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma,.

Katika hatua nyingine,ungozi wa Simba SC umewapa mapumziko ya muda mfupi wachezaji wake kabla ya kuivaa Mbeya City  katika mchezo utakaopigwa Machi 6.

No comments:

Post a Comment