ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, September 26, 2013

Tambwe:Nahitaji kuwa mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania bara

Straika wa kimataifa wa Timu ya Simba Sc amesema kuwa anahitaji kufunga magoli mengi zaidi ili kuweza kuiwezesha timu yake ya Simba Sc kuwa mabingwa wa Tanzania na yeye kuwa mfungaji bora.Tambwe ni mchezaji anayesifika kuwa na mashuti na akili za mpira uwanjani huku akiwa ndie kinara wa kufunga katika ligi kuu Tanzania bara mpaka sasa

No comments:

Post a Comment