ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, October 14, 2013

Baba ubaya aanza mazoezi mepesi chini ya Matola

Beki wa kushoto wa Simba SC, Idrissa Rashid Baba Ubaya, leo ameanza mazoezi mepesi chini ya nahodha wa zamani Selemani Matola ambaye hivi sasa anafundisha kikosi cha pili cha timu hiyo.

Idrissa Rashid, alipata majeraha katika uwanja wa kinesi,wakati Simba ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya LIPULI FC, kiasi cha kwamba kukaa nje ya uwanja takriban wiki mbili kabla ya kurudi rasmi kambini Bamba beach kuungana na wenzake.


Wakati huohuo, timu leo imeendelea na program zake za mazoezi katika uwanja wa uliopo pembeni ya Bamba beach nje kidogo na jiji la Dar es Salaam.





w

No comments:

Post a Comment