ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, October 28, 2013

SIMBA KUWAVAA AZAM FC LEO TAIFA



Timu ya soka ya Simba SC, leo hii inatarajia kucheza mechi ya muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Azam FC katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Timu hiyo ya mtaa wa msimbazi, inalazimika kupigana kufa au kupona katika mchezo wa leo ili iweze kuibuka na points zote tatu na kuendeleza imani kwa mashabiki wake ambao wana hamu ya kuiona timu yao ikinyakua taji la ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu huu.

Simba leo inatarajiwa kuanza na kikosi kifuatacho



1.Abel Dhaira
2.Willium Lucian Gallas
3.Idrissa Rashid Baba ubaya
4.Gilbert Kaze
5.Joseph Owino
6.Jonas Mkude
7.Ramadhan Singano Messi
8.Said Ndemla
9.Amissi Tambwe
10.Bentram Mombeki
11.Zahoro Pazi

No comments:

Post a Comment