ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, October 29, 2013

Simba kuwavaa Kagera Sugar kesho

Timu ya soka ya Simba Sc ya jijini Dar Es Salaam inatarajia kuwavaa Kagera Sugar ya Kagera katika muendelezo wa Ligi kuu Tanzania bara.
Ikiwa na rekodi mbaya ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Azam Fc, timu hiyo ya Mitaa ya Msimbazi, inalazimika kucheza kwa Kiwango cha juu ili iweze kupata alama tatu katika mchezo huo.

Wakati timu ikishuka hapo Kesho, Hali ya mshambuliaje wake mwenye uchu Amissi Tambwe ambaye alikosa mchezo dhidi ya Azam inaendelea vizuri Huku beki wake raia wa Burundi Gilbert Kaze akitarajia kuwepo katika kikosi hicho cha hapo kesho!

No comments:

Post a Comment