ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, October 28, 2013

Kaburu aula TFF

Aliyekuwa makamo mwenyekiti wa klabu ya Simba Geodfrey Nyange Kaburu,jana usiku alifanikiwa kushinda nafasi ya ujumbe aliyekuwa anagombea.

Kaburu aliyekuwa anagombea kutoka kanda ya 11,alipata kura 78 na kuwashinda Riziki Majala aliyepata kura 5,Twahiri Njoki aliyepata kura 2,Faridi  Mbaraka aliyepata kura 14 na Juma Pinto aliyepata kura 26.

No comments:

Post a Comment