ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, October 1, 2013

Simba kwenda FIFA kudai pesa za OKWI

Uongozi wa Simba SC,unatarajia kwenda FIFA baada ya muda uliowekwa wa malipo ya uuzaji wa mchezaji wa kimataifa wa Uganda Emanuel Okwi kuisha.
Okwi,aliuzwa kwenda Etoile de sahel baada ya kuonesha kiwango safi kabisa alipokuwa anacheza Simba SC.

No comments:

Post a Comment