ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, October 2, 2013

MAZOEZI KUFANYIKA BAMBA BEACH LEO

Timu ya Simba leo itaendelea na mazoezi katika uwanja uliokuwepo kwenye kambi yao ya muda ya Bamba beach.
Wachezaji wote wapo katika hali nzuri isipokuwa Idrissa Rashid na Miraji Adam ambao wana majeruhi waliyopata katika mechi tofauti zilizopita.

Wakati huohuo uongozi wa Simba SC unatarajia kwenda FIFA ili kuomba msaada wa kusaidiwa kulipwa fedha zake za mauzo ya mshambuliaji wake wa zamani Emanuel Okwi baada ya timu iliyomnunua mchezaji huyo ya Etoile de Sahel kugoma kulipa pesa hizo ambazo ni zaidi ya dola laki mbili na tisini.

No comments:

Post a Comment