ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, October 30, 2013

Tambwe kuiongoza Simba dhidi ya Kagera kesho

Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi anayechezea Klabu ya Simba ya jijini Dar Es salaam Amissi Tambwe, kesho anatarajia kuiongoza timu hiyo katika mchezo utakaowakutanisha na Kagera Sugar.

Tambwe ambaye alikosa mechi dhidi ya Azam, anarejea kutoka katika maumivu ya kidole, ambayo yalimfanya akose mechi na Azam Huku kukiwa na kumbukumbu ya kupokea kichapo cha magoli 2-1 Toka kwa matajiri hao wa ligi kuu ya Soka Tanzania bara.

No comments:

Post a Comment