ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, November 8, 2013

Breaking Newssssssss, Kaseja Asaini Yanga tena!

Aliyekuwa goli kipa wa Simba sc , ambaye anaweza kuwekwa katika kundi la legends wa timu hiyo Juma Kaseja Juma, amesaini rasmi katika kilabu cha Yanga.

Juma ambaye mashabiki wa Simba walitegemea angalau angerudi katika Klabu Yao baada ya kuyumba kwa upande wa kipa wa timu, italazimika kufanya kazi ya ziada ili kuimarisha nafasi ya kipa ambayo ilichukuliwa na Andrew Ntalla baada ya Juma kushindwa kusaini mkataba mpya.


No comments:

Post a Comment