ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, November 8, 2013

REFARII ALIYEWAUA SIMBA ASHIKILIWA NA POLISI

Mohamed Theopil, Refarii aliyewaua Simba Sc kwa penati yenye utata dhidi ya Kagera Sugar anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kukutwa Gesti akifanya mapenzi na mwanafunzi wa sekondari.

Tukio Hilo la kusikitisha na la kuajabisha limetokea Leo mkoani Morogoro ikiwa siku chache baada ya maamuzi yake yenye utata.

Maamuzi ya refa huyo yalisababisha mashabiki wa Simba wapandwe na ghadhabu kiasi cha Baadhi Yao kuvunja viti vya uwanja mkuu wa taifa.

Wakati Huohuo , mashabiki wa Simba waliokuwa wanashikiliwa na Polisi kwa kosa la kuvunja viti uwanja wa taifa, wameachiwa kwa dhamana!

No comments:

Post a Comment