ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, November 3, 2013

BREAKING NEWSSSSSSSS, OSIAH ATIMULIWA TFF

Aliyekuwa katibu mkuu wa TFF Angetile Osiah,sasa rasmi katimuliwa.
Kikao cha kamati ya utendaji ya TFF kilichokaa jana,kimeamua kumng'oa madarakani aliyekuwa katibu mkuu Angetile Osiah.

Nafasi ya Osiah sasa inashikwa na msemaji wa TFF,Boniface Wambura hadi hapo atakapotangazwa atayeshika nafasi hiyo.
Kikao hicho chini ya Rais mpya wa TFF, Jamal Malinzi kimeonesha kutoridhishwa na utendaji wa Osiah ambaye ni mmoja wa waandishi wa michezo nchini!

No comments:

Post a Comment