ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, November 3, 2013

Wanachama wa Simba wa Ubungo Terminal waonja joto ya Polisi

Baadhi ya wanachama wa Simba SC,wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa madai ya kuhusika na uvunjwaji wa viti uwanja wa Taifa, ,

Hali hiyo imekuja siku chache baada ya kutokea kwa tukio hilo, huku katibu wa tawi hilo ambaye ametambulika kwa jina la moja la Jastine,akipelekwa sero.

Simba SC,juzi ililazimishwa sare yenye utata,baada ya refarii Mohamed Theopil wa Morogoro kuamuru ipigwe penati ya utata baada ya mchezaji Joseph Owino kumuuangusha mchezaji wa Kagera nje ya eneo la penati huku cha ajabu refa huyo kuamua upigwe mkwaju huo,ambao uliamsha hasira kwa wanachama wa Simba SC

No comments:

Post a Comment