
Nahodha huyo Jana hakuweza kufanya mazoezi na wenzake, Hali iliyopelekea kocha mkuu wa timu hiyo kumtumia Beki kinda Willium Gallas kucheza katika nafasi hiyo Hali iliyotafsiriwa ni Kama kumuandaa katika mechi ya kesho.
Wakati huo huo, kiungo aliyesimamishwa kwa sababu zilizokuwa hazijawekwa wazi Rashid Ismail Mkoko, amejiunga rasmi na wenzake katika maandalizi ya mechi hiyo ya mwisho katika raundi ya kwanza!
No comments:
Post a Comment