ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, November 4, 2013

Leiwig akabidhiwa Dola 10000 Leo hii




Kocha aliyetupiwa virago Toka Simba Sc, mfaransa Patrick Leiwig, Leo hii amekabidhiwa nusu ya Fedha alizokuwa anaidai Klabu hiyo.

Kocha huyo wa zamani wa Asec Memosas, alikuwa Akiidai Klabu ya Simba Dola 18000 na kulipwa kiasi cha Dola 10000 Leo hii Huku Dola 3000 akipewa kesho na nyingine Dola 5000 atakabidhiwa February mwakani.

Leiwig , aliiwezesha timu ya Simba kushika nafasi ya tatu msimu uliopita Huku akisifika zaidi kwa kuzidisha Kung'aa kwa nyota ya kiungo kipenzi chake aliyetokea Simba B Abdallah Seseme maarufu Kama Hugo!

No comments:

Post a Comment