ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Monday, November 4, 2013

Leiwig, kujazwa pesa Leo hii




Kocha wa Zamani wa Simba Sc, Patrick Leiwig , Leo anatarajia kupewa pesa zake kutoka timu ya Simba Sc kufuatia kuvunjwa kwa mkataba wake mwisho wa  msimu uliopita.

Kocha huyo raia wa ufaransa, aliingia Tanzania tokea oct 18 mwaka huu, kufuatilia Madai yake.
Blog hii ilifika makao makuu ya Klabu ya Simba Muda mfupi uliopita, na kushuhudia makamo mwenyekiti wa Simba Bw Joseph Itang'are maarufu Kama mzee Kinesi akimsubiri kocha huyo ili aweze kumaliziwa deni lake!

No comments:

Post a Comment