ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Sunday, November 3, 2013

Redondo arejea rasmi kikazi Simba Sc


Kiungo mshambuliaji wa Simba Sc, Ramadhan Chombo Redondo, Leo ameanza mazoezi rasmi na wenzake katika KIKOSI A ambacho kinafundishwa na mchezaji wa zamani wa Simba King Abdallah Kibaden Mputa!

Ramadhan Chombo maarufu Kama Redondo, alipelekwa katika KIKOSI hicho kinachofundishwa na nahodha wa zamani wa Simba Selemani Matola Veron kwa Madai ya kushuka kwa Kiwango chake!

No comments:

Post a Comment