ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, November 8, 2013

YOUNG STARS WA SIMBA KUINGIA KAMBINI KESHO

Wachezaji wa Simba walioitwa katika kikosi cha kocha Kim Paulsen wanatarajiwa kuripoti kambini Kwao kesho.

Kocha wa taifa stars Kim Paulsen, aliwajimuisha katika kikosi chake makinda Said Ndemla, Jonas Mkude, Willium Lucian,Miraji Adam, Ramadhan Singano (Messi) katika kikosi hicho kipya ambacho kinatarajiwa kucheza mechi na Taifa Stars ili kupata mchujo wa timu kamili ya Stars!

No comments:

Post a Comment