ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, November 12, 2013

Simba mpya ya Matola kuanza kazi tarehe 17

Kikosi kipya cha Simba B kinachosukwa na nahodha wa zamani wa Simba Selemani Matola , kinatarajiwa kushuka dimbani tarehe 17 mwezi huu kuwavaa wanajeshi wa Jkt Oljoro.

Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Simba Sc,,inatarajiwa kupigwa katika uwanja wa Karume majira ya Saa 10.00 za Jioni.

Simba B ambayo inakumbukwa kwa kuwamaliza Mtibwa Sugar na Azam Fc zilizo kamili katika uwanja wa taifa pale michuano ya Super 8 Banc Abc ilipofanyika msimu uliopita.

Ikumbukwe Kikosi hiki ndicho kilichowatoa vijana wanaotikisa kaka zao Simba, yaani Said Ndemla, Willium Lucian, Miraji Adam, Miraji Madenge, Rashid Ismail Mkoko , Abuu Hashim ambaye ni kipa aliyempokonya namba kipa wa timu ya taifa ya Uganda Abel Dhaira !

No comments:

Post a Comment