ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, November 6, 2013

Simba yaichinja Ashanti

Timu ya Soka ya Simba ya Dar Es salaam, Leo imeivurumisha Ashanti United kwa jumla ya goli 4-2, katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa taifa. 

Shukrani za pekee kwa kinda lililopandishwa Toka Simba B Ramadhan Singano Messi na Super Sub Said Ndemla na mwenzake Wilium Lucian Gallas ambao waliingia kipindi cha pili na kubadilisha kabisa mchezo.

Mabao ya Simba Leo yalifungwa na Ramadhan Singano, Bentram Mombeki aliyefunga Mara mbili na kiongozi wa mabao katika ligi soka Tanzania Bara Amissi Tambwe!

No comments:

Post a Comment