ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, November 6, 2013

Wachezaji wa Simba Sc waomba radhi kwa mashabiki wao

Wachezaji wa timu ya soka ya Simba Sc wote kiujumla, wameomba radhi kwa mashabiki/wanachama na wadau wa Simba Sc kwa mwanzo mbaya wa timu .

Timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam Jana ikimaliza raundi ya kwanza ya ligi kuu Tanzania bara kwa ushindi wa goli 4-2,ingawa ushindi huo haukuiepusha kupanda katika nafasi yoyote ya msimamo wa ligi kuu Tanzania bara.

Ikianza kwa kishindo katika ligi na kupotea kwa kasi katika ligi hiyo hiyo, timu hiyo Ina takriban Miezi miwili ya kurekebisha makosa ambayo yalipelekea kushindwa kuongoza raundi ya kwanza ya ligi kuu Tanzania bara.

No comments:

Post a Comment