ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, March 12, 2014

WANACHAMA WA SIMBA, MACHI 16 KUWENI MAKINI

Machi 16 mwaka huu yaani siku ya jumapili inaweza kuwa ni siku pekee kwa wanachama wa Simba kufahamu ni kwanini klabu yao inafanya vibaya.

Siku hiyo ni maalum kwa ajili ya marekebisho ya katiba ya Simba ambayo imejaa mapungufu mengi.

Je unafikiri mashabiki wa Simba wafanye nini kwa siku hii?...Twende kazi

No comments:

Post a Comment