Mechi ya ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba SC na Coastal Union imepelekwa mbele mpaka machi 23.
Uamuzi wa kupeleka mbele mech hiyo umekuja baada ya kuonekana kuwa baadhi ya timu zitakuwa zimecheza michezo michache zaidi ikiwemo Yanga ambayo ipo nyuma zaidi ya michezo minne kwa Simba SC.
Wakati huo huo, kikosi cha Simba SC kimewasili salama jijini Dar es salaam kikitokea mkoani Mbeya ambapo kililazimishwa sare na timu ya Prisons ya mkoani humo.
No comments:
Post a Comment