ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, April 16, 2014

18 KUWAWINDA YANGA VISIWANI, TWAHA MESSI ATULIZWA

Kikosi cha Simba SC kinachoongozwa na mshambuliaji wake hatari Amissi Tambwe kinatarajiwa kutua visiwani unguja leo huku ikimuacha Dar mshambuliaji mwenye uchu Ibrahim Twaha Shekua.

Simba inatarajiwa kuwavaa Yanga siku ya jumamosi katika mechi ya mwisho ya kufunga pazia la ligi kuu Tanzania bara.

Wakati huo huo, hali ya nahodha wa kikosi hicho Nassor Chollo inazidi kuimarika huku mwenyewe akiwa na hamu ya kuwavaa Yanga tarehe 19.

No comments:

Post a Comment