ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, April 16, 2014

SIMBA KUTUA ZANZIBAR LEO

Kikosi cha Simba SC, leo majira ya alasiri kinatarajiwa kutua katika visiwa vya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya masaa 48 kujiandaa na mechi dhidi ya mtani wake Yanga.

Simba iliyodhoofu katika ushiriki wa ligi kuu mwaka huu, inalazimika kupambana kufa na kupona ili iweze kumfunga mtani wake huyo aliye katika kiwango kilicho bora mwaka huu.

Pambano hilo linalosubiriwa kwa hamu, linatabiriwa kuwa gumu kwa pande zote huku macho na m,asikio litakuwa kwa makipa wa pande zote mbili watafanya nini katika dakika zote tisini.

No comments:

Post a Comment