ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, May 6, 2014

OKWI ATUMA SALAAM SIMBA SC

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda na klabu ya Etoile de Sahel, amewaambia wanachama wa Simba Sc wawe wavumilivu kwa klabu yao kwani kipindi walichopitia ni cha mpito.

Akiongea na SPS, mganda huyo ambaye alikuwa kopenzi cha Wanasimba, amebainisha kuwa Simba ni timu bora na haitashangaza msimu ujao ikachukua taji la ligi kuu Tanzania bara.

Kuhusu kurejea Simba Sc, Okwi maarufu kama Emmosting, amesesma kuwa uongozi wa Simba Sc unajua unachokifanya hivyo basi muda ukifika kila kitu kitawekwa wazi.

No comments:

Post a Comment