ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Thursday, May 15, 2014

RWEYEMAMU AENDELEA VIZURI

Hali ya meneja wa Simba B , patrick Rweyemamu inazidi kutengemaa baada ya kuumia vibaya katika mazoezi aliyokuwa anafanya  wiki moja iliyopita.

Akiongea kwa uchangamfu baada ya kutembelewa na Dr wa mifupa , Dr Mwamba pichani juu kulia, Paty alisema mashabiki na wanachama wa Simba wasiwe na wasi kwani  hali yake inaendelea vozuri!!!

No comments:

Post a Comment