ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, August 15, 2014

AWADH JUMA ATAKIWA STAND UNITED

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Awadh Juma huenda akajiunga na timu iliyopanda daraja msimu huu ya Stand United kwa mkopo wa msimu mmoja.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuonekana kuwa ni ngumu kupata namba ndani ya Simba SC huku ugumu huo ukichagizwa na ujio wa Paul Kiongela.

Wakati huo huo, mkongwe huyo ambaye ni fundi wa mipira ya mbali anaweza kujumuishwa na Miraji Adam ambaye nafasi yake inaonekana ni ngumu ndani ya wekundu hao wa tanzania.

No comments:

Post a Comment