ASASH GENERAL TRADERS

Friday, August 15, 2014
SIMBA PLATINUM SUPPORTERS YACHOMOA TSHIRT YAO YA KWANZA
Simba Platinum Supporters leo imechomoa tshirt ya kwanza kati ya tatu watakazovaa msimu huu.
Akiongea na SPS blog, mwenyekiti wa SPS INC Mrs Amina Poyo amesema wameamua kuitoa ya kwanza ingawa ndani ya wiki mbili kuna nyingine itatoka" kweli tumetoa tshirt moja tu, ila ndani ya wiki mbili tutatoa ya pili" aliongeza , kuhusu gharama na upatikanaji wake, Bi Amina alisema gharama zake ni 25000/= na ukipiga 0714222345 basi unaletewa tshirt yako kwa size unayohitaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment