ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Saturday, August 16, 2014

KIEMBA; PHIRI ATAIPA UBINGWA MSIMBAZI

Nahodha msaidizi wa Simba SC Amri Kiemba,amesema kuwa Kocha wao wa sasa ataipa ubingwa timu hiyo.
Kiungo huyo ambaye inasemekana ndiye aliyegombana na kocha aliyeondolewa Zdravko Logausic, amethibitisha zaidi kuwa uwezo wa Patrick Phiri ni mkubwa zaidi na ana imani kazi itakuwa bora.

Simba SC leo imeendelea na mazoezi katika uwanja wa fuoni.mazoezi ambayo yalisimamiwa na kocha mkuu wa kikosi hicho Patrick Phiri.

No comments:

Post a Comment