ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Friday, August 15, 2014

STAND UNITED YAWABAKIZA AWADH JUMA,MIRAJI ADAM DAR ES SALAAM

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Awadh Juma pamoja na beki ya kati Miraji Adam wanatarajia kujiunga kwa mkopo timu ya Stand United muda wowote kuanzia leo hii.

Hal hiyo imesababisha wachezaji hao kushindwa kujiunga na wenzao katika camp ya wiki kadhaa inayoendelea visiwani Zanzibar.

Wakati huo huo,kocha wa kikosi hicho Patrick Phiri anatarajiwa kuwasili visiwani humo leo hii tayari kujiunga na jeshi hilo la THE REDS.

No comments:

Post a Comment