ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Wednesday, August 20, 2014

LIGI KUU TANZANIA BARA, SIMBA VS COASTAL SEPTEMBA 21, YANGA KUKARIBISHWA OKTOBA 12

Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2014/2015 imetoka huku timu ya Simba SC ikianza kwa kuwavaa timu ya Coatal Union uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Katika ratiba hiyo,mechi ya Simba Vs Coastal itachezwa Septemba 21 wakati ligi hiyo inatarajiwa kufunguliwa Septemba 20.

Ratiba hiyo pia inaonesha mechi ya watani wa jadi kati ya Simba SC vs Yanga itachezwa oktoba 12 katika dimba hilohilo la uwanja wa taifa.

No comments:

Post a Comment