ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, February 3, 2015

OWINO AREJEA KUNDINI

Beki Ya kati Ya Simba Sc Joseph Owino amejiunga na wenzake tayari kabisa kuendeleza mapambano Ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara SPS inakutaarifu!

Beki huyo kisiki raia wa uganda, amejiunga na wenzake na tayari anaendelea na mazoezi na wenzake!

No comments:

Post a Comment