ASASH GENERAL TRADERS

ASASH GENERAL TRADERS

Tuesday, February 3, 2015

BEN ARFA ATUA NICE



Wakati dirisha la usajili linafungwa Ulaya; Hatem Ben Arfa baada ya kufeli Newcastle na kushindwa kuonyesha cheche, ameamua kurejea kwa Ufaransa.


Taarifa zimeeleza kuwa Ben Arfa ambaye awali alifananishwa na Lionel Messi, ameamua kujiunga na klabu ya Nice.


Vyombo vya habari vya Ufaransa vimeeleza mchezaji 

No comments:

Post a Comment